Monday, October 7, 2013

Download JCB & Moplus ft Catrina - Mapinduzi

Ngoma Mpya Toka kwa JCB & Moplus from the "Makalla wa Ukoo Mixtape, ikiwa ni collabo na mwanadada Catrina, kazi inaitwa "Mapinduzi" na imerekodiwa juu ya beat ya Zigilaa katika studio za Noizmekah kwa Defxtro, sikiliza ngoma HAPA

Kilimanjaro Music Tour 2013 ilivyobamba Mwanza

 Maelfu ya mashabiki wa jiji la Mwanza waliojitokeza uwanja wa CCM Kirumba kuwashuhudia wakali wa Muziki katika Kilimanjaro Music Tour

Thursday, October 3, 2013

Download Banx - Area Code

Banx na Area Code Juu ya Riddim raggaton beat aka Hookmaster toka pande za Arachuga akiwakilisha vilivyo +255, "Nipo likizo fupi kabla ya kuanza ajira rasmi hivo nimefeel ni muda tangu kurecord,fans wamemiss ladha kibao so hi ngoma club banger iko ready to set floors on fayaaaa
DOWNLOAD

Banx ft Defxtro - Excellent KIONJO / SNIPPET

Tarehe Moja Mwezi wa Tisa 2013, Banx atadrop "Excellent" ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios akishirikiana na Defxtro alopita Verse moko, Pata Kionjo/Snippet HAPA